Ofa Hii Inaisha Ndani Ya:
Acha Kupoteza Muda Na Bando Lako Kwenye Mitandao Ya kijami Bila Kuingiza Hata Senti 1
Jinsi Ya Kugeuza Simu Yako Kuwa ATM Mashine Inayoingiza Zaidi Ya 3M+ Ndani Ya Siku 30 Zijazo, Bila Kuwa Na Mtaji Mkubwa Wala Kuhitaji Utaalamu Wowote Wa IT!
Iba Mfumo Wangu ‘Copy & Paste’ Ambao Nimeshaufanyia Majaribio (Done-For-You Assets), Ili Uanze Kuingiza Pesa Moja Kwa Moja Kwenye M-PESA Yako Hata Kama Umelala Fofofo.
“Je, Unawezaje Kutoboa Kimaisha Ukiwa Huna Mtaji, Huna Kazi, Na Kitu Pekee Ulichonacho Ni Smartphone Na Bando Lako Tu?”
Hivi Ndivyo Utakavyoweza Kujenga Mfumo Wa Kutengeneza Kuanzia 3M+ Kila Mwezi Mtandaoni—(Hata Kama Huna Bidhaa, Unaogopa Kamera, Wala Hujui Chochote Kuhusu Mitandao).
Rafiki Mpendwa…
Ndani Ya Sekunde 60 Zijazo Utaenda Kujifunza Jinsi Nilivyoanza Kutengeneza Kuanzia 3M Kila Mwezi Mtandaoni…
Na Jinsi Utakavyotengeneza Pia Ndani Ya Siku 30 Zijazo Kama Utafanya Kila Kitu Ninachoenda Kukuonyesha!
Inaonekana Kama Haiwezekani—Si Ndio?
Basi Tayari Mimi Nimeshafanya Hivyo Mara Kibao Tu Tangu 2023!
Na:
Nimeshawafundisha Hata Wengine Pia Kufanya Hivyo Kama Unavyo Ona Hapa Chini!
Japokuwa Mfumo Huu Sio Kwa Ajili Ya Kila Mtu…
Bali Ni Maalumu Kwa Ajili Yako Kama Wewe Ni:
-Mwajiriwa Unayetaka Kutengeneza Pesa Mtandaoni
-Mhitimu Unayetembea Na Bahasha Za Kaki Bila Kazi
-Mama Wa Nyumbani Anayetafuta Uhuru Wa Kifedha
-Jobless Uliyechoka Kuwa Mzigo Kwenye Familia Yako
Au
-Kama Ni Mwanachuo Serious Anayetaka Kujitegemea Mapema
Habari…
Jina Langu Ni Charles Laurent.
Naishi Goba, Dar Es Salaam.
Mtaalamu Wa Digital Marketing Na Mifumo Ya OPM.
Lakini:
Kabla Ya Kujulikana Kama Mentor Charles—Sikuwa Chochote!
Ilikuwa Je?…
Ngoja Nikurudishe Nyuma Mpaka:
…Novemba, 2021…
Hiyo Ni Miaka 5 Iliyopita…
Ndoto Zangu Za Kusoma Zilikatizwa Ghafla Baada Ya Kushindwa Kuendelea Na Chuo Kutokana Na UMASIKINI Wa Fedha…
Nikiwa Na Hasira Za Maisha, Nilikusanya Vijisenti Nilivyokuwa Navyo Na Kufungua Fremu Ya Biashara Nikiwa Na Matumaini Makubwa…
Lakini…
Huwezi Kuamini, Ndani Ya Miezi 6 Tu Ile Biashara Ikafa Kifo Cha Mende! Mtaji Wote Ukakata.
Sikuwa Na Jinsi, Ilibidi Nimeze Kiburi Changu Na Kwenda Kuajiriwa Kwenye Duka La Nguo Pale Sinza Kwa Remi Kama Winga (Mpiga Debe)…
Mambo Yalikuwa Magumu Sana…
Ila:
Baadae Nikaja Kugundua Kwamba:
…Ni Ngumu Mno Kutoboa Kupitia Uwinga Na Malipo Niliyokuwa Napata!
Kivipi?…
Angalia:
Ndani Ya Mwaka Mzima Kuna Wiki 52…
Na:
Nilikuwa Natumia Wiki 50 Zote Kuzunguka Juani Kuwavuta Wateja, Kufanya Kazi Ambayo Mshahara Wake Kwa Mwezi Ni:
Natoka Asubuhi Narudi Jioni Nikiwa Hoi, Miguu Inawaka Moto…
Licha Ya Kujibana Bana Kote Ila Bado Pesa Yote Ilikuwa Inaishia Kwenye:
…“Nauli, Chakula, Kodi Na Madeni”
Naona Aibu Kulisema Hili Ila…
“Hadi Mchumba Wangu Sarah Aliniacha Kisa Nilikosa TZS 50,000 Tu Ya Kumununulia Cake Kwenye Siku Yake Ya Kuzaliwa”
“Hivi Nitaishi Maisha Haya Mpaka Lini?”—Nikajiuliza!
Kuanzia Siku Hiyo Nikaapa Kwamba:
“Lazima Nifanye Kitu Ambacho Kitabadilisha Maisha Yangu, Kitanipa Uhuru Wa Kifedha Na Kuutoroka Mfumo Wa Kitumwa Wa Kulipwa Pesa Za Kupimiwa Na Mwajiri Kila Mwezi”
…Machi, 2023…
Nikaanza Kutafuta Njia Ya Kunitoa Kwenye Mfumo Wa Ajira…
Nikaingia Google Kisha Nikaandika:
“How To Make Money Online?”
Zikaja biashara kibao ikiwemo:
“Betting, Forex trading, Network marketing, Affiliate marketing nk”
…Kwa Tamaa Ya Kutoboa Haraka, Nikaingia Kichwa Kichwa Bila Kuwaza…
Ndani Ya Sekunde Chache, Nikatapeliwa Akiba Yangu Yote Niliyosotea Kwa Jasho!
Nilibaki Nakodolea Macho Simu Yangu Huku Nikivuja Jasho La Baridi…
Kidogo Nizimie Hapo Hapo Kwenye Kiti.
Niwe Mkweli Tu Sikutaka Kusikia Tena Mambo Ya Biashara Mtandaoni.
Lakini:
Wakati Tayari Nimeshajikatia Tamaa…
Jioni Moja Nikiwa Naperuzi YouTube…
Kama Bahati Tu Nikakutana Na Handaki La Mafundisho Ya Siri Kutoka Kwa Mtaalamu Wa Mauzo Duniani, Dan Kennedy…
…Na Kutumia Mfumo Wa OPM (Bila Hata Kutengeneza Bidhaa Yako Mwenyewe).
Kama Ndio Mara Yako Ya Kwanza Kuusikia Mfumo Huu…
…Basi Nitakwambia Maana Yake Hapa Chini:
OPM Ni “Other People’s Money” Au “Other People’s Products”—Ni Ujuzi Wa Kuchukua Bidhaa Ambazo Zimeshatengenezwa Tayari Na Kuuza Kama Zako!
Kwahiyo:
Kama Huna Mtaji Au Hujui Kutengeneza Bidhaa Yako Mwenyewe…
…Au Kila Unapojaribu Kuanza Biashara Unaishia Kukwama Kwasababu Huna Wazo!
Basi Elewa Kwamba:
Tatizo Halipo Kwenye Mtaji Wako…
Bali Tatizo Halisi Lipo Kwenye:
“Kukosa Mfumo Sahihi Wa Mauzo (Sales Mechanism)”
Na:
…Hili Lilithibitishwa Na Gwiji Wa Masoko Duniani Dan Kennedy Baada Ya Kuingiza Mamilioni Ya Dola Mtandaoni (Multi-Millionaire).
Alisema:
“Make People Pay You For What Others Give Away For Free, But First, Give Them For Free What Others Are Charging Money For.”
Usijali Nitakwambia Maana Yake Hapa Chini…
“Wafanye Watu Wakulipe Kwa Kile Ambacho Wengine Wanatoa Bure, Lakini Kwanza Wape Bure Kile Ambacho Wengine Wanauza Kwa Pesa.”
Kwahiyo:
Ili Kuuza Digital Products Mtandaoni!
Lazima Uwe Na Mfumo Wa Lead Magnet Na Ujuzi Wa Kujenga KLT Factor…
Kwasababu:
Wateja Hawanunui Bidhaa—Bali Wananunua Suluhisho La Maumivu Yao!
Ndio Maana:
“97% Ya Watu Wanaojaribu Biashara Mtandaoni Wanaishia Kupata Likes Na Comments Tu—Badala Ya Pesa Kwenye M-PESA Zao”
Kwahiyo:
Baada Ya Kujifunza Ujuzi Huu Kutoka Kwa Dan Kennedy Kila Kitu Kilibadilika Kwangu Ndani Ya Mwezi 1 Tu.
Nikawa Na Uwezo Wa Kutumia Faceless Content Na Kuuza Bidhaa Za OPM Mtandaoni Na Kupiga Faida Ya 100%!
Ikafika Wakati Nikawa Naingiza Zaidi Ya TZS 6,906,000 Kila Mwezi Mtandaoni Bila Kuonyesha Sura Yangu Kwenye Kamera.
…Hiyo Ni Mara 7 Zaidi Ya Mshahara Niliokuwa Nalipwa!
…Miezi 9 Baadae…
Nikaacha Kazi Yangu Ya Ajira…
Nikajiajiri Mazima Mtandaoni…
Na:
…Sasa Hivi Naingiza Zaidi Ya TZS 10,000,000 Hadi TZS 16,329,493 Kila Mwezi Mtandaoni Kupitia Digital Products…
Huku Nikiwa Na Uhuru Wa Kufanyia Kazi Popote Kwa Kutumia Smartphone Na Internet!
Na Sio Hivyo Tu!
…Pia Kupitia Mfumo Huu Wa Digital Marketing Nimeweza Kununua One Of My Best Dream Car AUDI Q5 S-line Yenye Thamani Ya 43+ Ndani Ya Miezi 12 Tu!
Habari Zangu Zikasambaa Kila Kona…
Watu Wengi Wakaanza Kunitafuta Na Kuniomba Niwafundishe Mfumo Huu…
Mwanzoni Nilisema:
Hapana!
Kwasababu:
Sikuamini Kama Kuna Mtu Yeyote Angeweza Kufanya Kile Ninachokifanya.
Nilidhani Mimi Ni Wa Kipekee…
Lakini:
Kuna Huyu Rafiki Yangu Anaitwa Kelvin, Yeye Hakukata Tamaa…
Alikuwa Ananipigia Simu Zaidi Ya 20 Kwa Siku…
Akiomba Nimfundishe Mfumo Huu Na Alikuwa Tayari Hata Kunilipa Pesa Nyingi!
Kishingo Upande Nikaamua Kumfundisha…
Na:
…Haya Ndio Yalikuwa Matokeo Yake Hapa Chini…
Ndani Ya Miaka 3…
“Tayari Nimeshawasaidia Mamia Ya Wajasiriamali Na Wafanyakazi Wa Kitanzania Kuingiza Mamilioni Mtandaoni Kupitia Mfumo Huu”
Yawezekana Bado Huamini Kama Huu Ndio Mfumo Utakaobadikisha Maisha Yako Ndani Ya Mwaka 2026?…
…Hebu Wasikie Mwenyewe Hawa Wanavyosema Baada Ya Kuingia Kwenye Kozi:
…Je, Umechoka Kuteseka Kifedha Na Uko Tayari Kumiliki Mfumo Wa Kuuza Digital Products Na Kuingiza 3M Yako Ya Kwanza Ndani Ya Siku 30 Zijazo?…
Kama Umejibu Ndio—Basi Leo Kwa Mara Ya Kwanza Katika Historia Yangu Naenda Kuitambulisha Kwako Kozi Pekee Ya Digital Marketing Tanzania Inayoitwa:
“The Digital Marketing Blueprint”
“Jinsi Ya Kutengeneza TZS 3,000,000 Kila Mwezi Mtandaoni Kupitia Digital Products Bila Kuacha Ajira Yako Au Kuonyesha Sura Yako Kwenye Kamera”
Na:
…Zifuatazo Ni Nusu Tu Ya Siri Zinazokusubiri Ukazigundue Ndani Ya Kozi Hii:
✍Siri Ya Digital Mindset: Mbinu Ya Kisaikolojia Itakayokutoa Kwenye Utumwa Wa Mshahara Na Kukufanya Mzalishaji Hatari Wa Kidijitali Anayemiliki Mifumo Inayoingiza Pesa Masaa 24.
✍ Soko Lenye Njaa Kali (The Hungry Market): Jinsi Ya Kugundua Makundi Ya Wateja Wanaoteseka Na Maumivu Makali, Ambao Wapo Tayari Kukabidhi Pesa Zao Kwako Sasa Hivi (Bila Hata Kuwabembeleza).
✍ Sheria Ya Masaa 48 Ya AI: Jinsi Ya Kutumia Zile Code Maalum (Prompts) Za Hatari Zitakazoilazimisha ChatGPT Ikuandalie Digital Product Yako Yote Yenye Mamlaka Bila Wewe Kuchapa Neno Hata Moja.
✍ Instagram Setup: Jinsi Ya Kuibadilisha Akaunti Yako Ya Kawaida Kuwa Mashine Ya Kuvuta Wateja Na Kuwajengea Uaminifu Ndani Ya Sekunde 3 Za Mwanzo Wakikanyaga Kwenye Ukurasa Wako.
✍ Faceless Content Mastery: Njia Ya Kijanja Ya Kutengeneza HD AI Videos Zinazotrend Na Kuingiza Mauzo Makubwa Bila Wewe Kuonyesha
Sura Yako Wala Kutoa Sauti Yako (Kama Unaogopa Kamera Hii Ni Maalum Kwako).
✍ Free Traffic Marketing: Mbinu Ya Kuandika Posts Zinazogusa Hisia Za Ndani Za Watu Na Kuwalazimisha Kununua Moja Kwa Moja Bila Kulipia Hata Senti Tano Kwenye Matangazo Kwa Kutumia Principle Ya PAISA.
✍ Sales Mechanism System: Jinsi Ya Kujenga “The DM Bridge” Kwa Kutumia RMBC Formula Ili Kuwavusha Wateja Kutoka Instagram Hadi WhatsApp Na Kufunga MAUZO Kiulaini Kama Maji.
…Pamoja Na Siri Zingine Kibao Utazikuta Ndani Ya Kozi!
…Kozi Hii Ni Tofauti Na Kozi Zingine Zote Tanzania:
Kwani:
Hii Imetengenezwa Kuendana Na Mazingira Halisi Ya Kitanzania Na Ipo Kwa Lugha Ya Kiswahili.
Hii Sio Nadharia Ya Kwenye Vitabu Au Ya Kozi Za Nje Bali Ni Experience Yangu Halisi Ya Soko La Hapa Bongo Ambao Unavuta Pesa Za Wateja Bila Kuomba Msamaha!
Kwahiyo:
…Kozi Hii Inagharimu Kiasi Gani Kuipata?…
Ukweli Ni Kwamba:
Mwanzoni Nilipanga Kuiuza Kozi Hii Kwa TZS 1,500,000!
…Na Hiyo Ni Kwasababu Sikuuzii Tu Ujuzi Wa Kawaida Ambao Umejaa Kila Kona Sokoni…
Bali Nakuuzia “Mifumo Ya Kuchapisha Pesa” Ambayo Matajiri Wameiwekea Kufuli!
Hii Ni Silaha Nzito Inayokupa Uhakika Wa Kurudisha Gharama Yako Yote Ndani Ya Mauzo Yako Mawili Tu Ya Kwanza, Na Kuendelea Kukamua Faida Ya 100% Kwa Maisha Yako Yote.
Ila:
Nikajipiga Kifua Na Kujiambia Ukweli Huu…
…Kutoza TZS 1,500,000 Ni Sawa Na Kuwanyima Oksijeni Ya Kifedha Wale Wanaoisaka Kwa Udi Na Uvumba—(Wahitimu Waliokata Tamaa, Jobless Waliodharaulika, Na Wamama Wa Nyumbani Wanaoteseka Kuomba Pesa Kila Siku).
Nikaamua Kuvunja Huo Ukuta Wa Zege Ili Kila Mwenye Hasira Ya Kutoka Kimaisha Apate Nafasi Ya Kupindua Meza!
Na Ukizingatia Sheria Yangu Ni Moja Tu…
Mwezi Huu Sina Muda Wala Haja Ya Kubeba Kila Mtu!
Natafuta “Inner Circle” Ya Watu 9 Pekee Walio Serious…
…Ambao Naenda Kuwashika Mkono Na Kuwafanya Kuwa Mamilionea Wa Kidijitali Mtandaoni Kabla Mwaka Haujaisha!!
Bado Haikutosha…
Nikachukua Panga Na Kufyeka Tena Hiyo Bei…
(Bei Ambayo Kimsingi Ni Sawa Na Kugawa Bure Kabisa Huu Mfumo).
Lakini:
Kwasababu Lengo Langu Kuu Mwaka Huu Sio Kuuza Kozi…
…Basi Nimeamua Kuvunja Sheria Zote Za Mauzo Ili Uingie Kwenye Hii Timu Bila Kisingizio Chochote!
Badala Yake:
…Leo Hii Naenda Kukukabidhi Funguo Za Mfumo Huu Wote Kwa Malipo Kidogo Ya:
Ofa Hii Inaisha Ndani Ya:
Subiri Kwanza—Kuna Zaidi!
…Nataka Nikupe Na Hizi Bonuses Hapa Chini Ili Kuifanya Hii Iwe Ndio Ofa Bora Zaidi Utakayoipata Ndani Ya Mwaka 2026:
BONUS #1: The High-Conversion Landing Page System (Thamani TZS 500,000). Nitakufundisha Kujenga MFUMO Kama Huu Wa Kuuza Digita Products Zako (KLT Factor) Before Sale 24/7 Hata Ukiwa Umelala Fofofo.
BONUS #2: VIP Mentorship Ya Siku 90 (Thamani TZS 300,000). Sitakuachia Kozi Na Kukukimbia. Utapata Mwongozo Wangu Bega Kwa Bega Kuhakikisha Unatoboa Haraka.
BONUS #3: OPM E-Commerce Products Pamoja Na The Shortcut Copy And Paste My Business System (Thamani TZS 400,000). Nakufundisha Jinsi Ya Kupata Bidhaa Tayari Zinazouza Ukopi Na Kupaste Kisha Uchukuwe Faida Ya 100%.
BONUS#4: WhatsApp Scripts Closing (Thamani TZS 150,000). Mfumo Wa Silaha Ya Kikatili Ya “Copy & Paste” Ya Kufunga Wateja Wote Waliokuja DM. Hizi Sio Script Za Kawaida, Ni “Sniper Scripts” Zinazoua Vipingamizi Vyote Vya Wateja Na Kuwalazimisha Kununua Bila Kuuliza Bei!
Na Si Hivyo Tu!
Kama Utakuwa Wa Kwanza Kulipia Sasa Hivi, Basi Utapata:
BONUS#5: Kitabu Cha “MkwanjaOnline” (Thamani TZS 100,000):Nitakupa BURE Mbinu Zangu Zote Za Kijanja Za Kutengeneza 3M+ Mtandaoni Kupitia Muunganiko Wa Canva, ChatGPT, Na Instagram—Bila Kuacha Ajira Yako Wala Kutumia Masaa Mengi!
…Vyote Vyako Leo Kwa Malipo Kidogo Ya:
Ofa Hii Inaisha Ndani Ya:
Na:
…Hiki Ndicho Kitakachotokea Baada Ya Kutuma Pesa Yako…
“Utatuma Malipo Yako Kwenye Namba 075-502-9526 (Jina: Charles Laurent Kwenye M-PESA), Kisha Utanitumia Uthibitisho WhatsApp Na Neno BLUEPRINT, Halafu Nitakutumia Access Ya Kuingia Kwenye Kozi Yako Ndani Ya Dakika 2 Tu.”
Tahadhari: Kozi Hii Itauzwa TZS 100,000 Kwa Watu 9 Tu—Baada Ya Hapo Itapanda Mpaka TZS 750,000 Fixed Na BONUS Zote Zitaondelewa
Ili Kukutoa Hofu Na Wasi Wasi Wa Kupoteza Pesa Zako…
….Basi Nakupa Hii Guarantee Hapa Chini…
“Endapo Ndani Ya Siku 30 Baada Ya Kununua Kozi Hii Ukakuta Kitu Kimojawapo Kati Ya Hivi Vyote Vilivyoahidiwa Hakipo Ndani Ya Kozi—Basi Nitakurudishia Pesa Yako Bila Kukuuliza Swali Lolote Na Kila Kitu Unabaki Nacho—(Kwahiyo Hakuna Risk Yoyote Upande Wako).”
Sasa Tumalize Na Hii…
…Huu Ndio Mjumuisho Wa Kila Kitu Unachoenda Kukipata Bure Kama Utalipia Kozi Yako Leo:
Bonus # 1: Landing Page System Na KLT Factor (Thamani TZS 500,000)
Bonus # 2: VIP Mentorship 90 Days (Thamani TZS 300,000)
Bonus # 3: VIP Mentorship 90 Days (Thamani TZS 300,000)
Bonus # 4: WhatsApp Closing Secret (Thamani TZS 150,000)
Bonus # 5: Kitabu Cha “MkwanjaOnline” (Thamani TZS 100,000):
…Vyote Vyako Leo Kwa Malipo Kidogo Ya:
Ofa Hii Inaisha Ndani Ya:
PS: Je Nakwambia Yote Haya Ili Ununue Kozi Yangu?
Jibu Ni Hapana!
Wote Tunajua Wewe Sio Mtoto Mdogo…
Na Hata Ukiamua Kutokununua Ni Sawa Kabisa—Kuna Mwingine Atanunua!
Ila Tuombe Tu Huyo Mtu Asiwe Ni Mshindani Wako.
Lakini Nani Anayejua?
Anyways Maamuzi Yote Yapo Mikononi Mwako Na Chaguo Ni Lako.
Kila Lakheri!
Voila!
(Mentor Charles)
@mkwanjaonline – CEO & Founder